Nop,nasikia feni ikiunguruma tu,kwenye screen no display mwanzon ikizingua naifungua na kubonyeza power button for sec baada ya kutoa ram na hhd then inawaka,saa hv haijawka tenaJe kuna beep sounds unazisikia inapowaka, je ikiwaka zile taa kwenye button ya kuwashia zina rangi gani, je unapata meseji gani kwenye screen yako
Hp aina gani......sometimes huwa ni graphic driver zimemiss so pc utaona inawaka lakini haioneshi kitu kwenye kioo......kujihakikishia hilo tafuta external monitor unganisha hafu cheki kama haidisplay na hukoPc yangu imezima muda sasa na haitak kuwaka,ukiwasha button inarun kma inataka kuwaka na mgurumo wa fan lakin haidisplay chochote sijajua tatizo ni nn licha ya kuifungua na kuisafisha plus kutoa moto kwenye ram na kufungua hdd
Kma kuna wataalamu au mafundi wa hili tatizo naombeni msaada
Ni hp core i3
Unapatikana wapi?Pc yangu imezima muda sasa na haitak kuwaka,ukiwasha button inarun kma inataka kuwaka na mgurumo wa fan lakin haidisplay chochote sijajua tatizo ni nn licha ya kuifungua na kuisafisha plus kutoa moto kwenye ram na kufungua hdd
Kma kuna wataalamu au mafundi wa hili tatizo naombeni msaada
Ni hp core i3
Ok,ngoja ntajaribu hyo maana kuna wakat hta kuwaka hivo ilikua shidaHp aina gani......sometimes huwa ni graphic driver zimemiss so pc utaona inawaka lakini haioneshi kitu kwenye kioo......kujihakikishia hilo tafuta external monitor unganisha hafu cheki kama haidisplay na huko
Sasa jaribu hii:Tanga
Asante sana,gharama ya hyo graphics card inaweza kuwa sh ngapi?kama screen haionyeshi kitu kabisa lakini muungurumo wa fan unasikika possible problemyaweza kuwa ni
graphics card ya hiyo machine imezingu nenda kwa fundi aipige moto graphics card (blower) au abadilishe kabisa
kupata graphics card equivalent itakuwa changamoto kidogoAsante sana,gharama ya hyo graphics card inaweza kuwa sh ngapi?
Disconnect RAM zote washa computer bila RAM, kama haitatoa beep basi Motherboard ina shida.Nilishajaribu yote hayo na bado tatizo limejirudia lile lile
Na mimi PC yangu HP imezima ghafla ila antivirus yake ilikuwa ime expire lakini dogo akaendelea kuitumia ivyo ivyo for a year then ikazima ghafla...ukijaribu kuiwasha huku umeshikilia button ile taa inawaka kama endiketa ya gari mweku mweku halafu inasizi..msaada plz
Shukrani nitafanya ivyo mkuuAngalia kama adapter unayotumia ni ya hiyo laptop. Soma rating kwenye sticka chini ya laptop na ulinganishe na rating za kwenye adapter (Voltage na Current)