INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,918
Wakuu salama?
Jana usiku nilikua natumia pc kwenye xcell sasa nikaifunga bila kuizima kwa muda ndo jadi yangu. Baada ya dk20 nikaifungua niendelee nakazi nikakuta imestuck, ikabd niiforce kuizima matokeo yake ndo kama haya.
Sahvi ndo inaandika diagnosing your pc ni kama saa tayar haiendelei wala nini, naombeni kautalamu bandugu.