Msaada pc inachagua flash

Msaada pc inachagua flash

leez salu

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
35
Reaction score
8
pc aina ya dell inachagua flash ni flash yangu tu 2gb inayosoma nyingine hazikubali...nmeshauriwa nibadilishe window maana kuna key zimemisi..msaada kabla ya kubadilisha window naweza nkafanya nini?
 
pc aina ya dell inachagua flash ni flash yangu tu 2gb inayosoma nyingine hazikubali...nmeshauriwa nibadilishe window maana kuna key zimemisi..msaada kabla ya kubadilisha window naweza nkafanya nini?

unatumia windows xp, window 7 au window 8 ?
 
Mwenyewe windows 8.1 kwenye pc yangu modem ya huawei mpaka uboot zaidi ya mara tano ndo inadetect....

Anyone to help here sijui drivers za Huawei haziko compatible na win 8.1?
 
Back
Top Bottom