Son.j
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,030
- 2,447
Nilikuwa natumia freshi tu, sasa nikawa nime install mavis Beacon latest version, nilipo launch ikaleta kimessage cha intel kutokana na screen resolution, baada ya hapo ikastak nika force ku shutdown kwa power key, ika zima asa kwnye kuwasha tena ikawa inaleta mistari flani vertical kwenye display baadaye ikazima kabisa
Sasa nkiwasha inawaka tu taa, screen ni blank kabisa ila caps lock inablink two times kila baada ya muda flani mfupi
Solution, nilizojaribu ni power recycle ambapo nimetoa battery nakuhold power key kwa 30 sec, lakini no any sign of kuwaka
Kwa mwwnye uzoefu, au fundi mzuri ni mpelekee..
Nipo DSM