Wadau PC yangu ni Samsung, na hivi majuzi ikaanza kuniambia "copy of window is not Gebuine", sasa leo nilikuwa naactivate na setup inaitwa "Window 7 loader"...
Kilichotokea baada ya kuinstall, PC imeshindwa kurestart...kila yanapoanza maandishi ya Samsung inazima...yan inakuwa kama inamulika hivi!!!
Wadau naomba msaada wenu, nifanyeje maana ni karibu 2hrs now inafanya the same thing!!!