Wengine hicho cha Lilongwe ndicho kimeweza kutufanya tuwe ' Majiniasi ' hivi kwani kinatusaidia mno katika utafutaji wa ' maarifa ' kisha kuja ' kutiririka ' nayo pande hizi. Niambie bhana upo wapi sasa nikuletee japo kidogo tu Mkuu kisha ukishatumia tu utaona IQ yako itakavyokuwa sharp na kutoa madini mfululizo.
Ingia google, Ingiza neno TETEA maktaba, kisha angalia kushoto wameandika past papers, ingia hapo utapata past papers tangu za primary mpka za Advance kwa miaka kibao