Pump inategemea matumizi yako na umbali wa maji yalipo.... Kwa mfano unavuta maji toka kwenye MTO ambapo yako mita 100 tu... Kanunue Honda wpx 30 au kingmax... Zinauzwa sh. 290,000 hadi 340,000 kutegemeana na duka na mahala... Hizo ni za inch 3 diameter ya Bomba.... Ofcoz hizo pump ubora wake ni wa kawaida tu zinafaa kwa matumiz ya muda mfupi na wa kati....