Wewe jamaa ni kama mimi kuna muda jicho linaweza likacheza hadi nahisi litaanguka nini ?
.
Walimwengu wakaniambia likicheza nifanye maamuzi ya haraka popote nilipo eti ni machale
Sasa rafiki labda na wewe ujaribu hii mbinu ya walimwengu wenyewe wanasema ni mwili unakupa tahadhari juu ya jambo litakalotokea. Hao ni walimwengu japo madokta watakuambia ni ishu ua mzunguko wa damu au tishu za usoni.