Huyu jamaa ni kuziii kwelikwli kuna mijitu mingine Dunia hii sijui imerogwaa....?
Asa kwenye profile yako ya bodi ya mikopo alikuwa anafata nn??muda bado wanaambiwa wasubiri official announcement hayasikii kazi kiherehere tuuu.
Nna wasiwasi na IQ za watanzania wenzangu.