Mkuu naona tangu umepost thread yako watu wana view inaoneka hakuna anayejua au hawataki kukuelekeza kama unauliza Ilala najua upo hapa Dar, sas wewe hebu jitose nenda pale Posta ya mpya ukiwa ktk kituo cha daladala angalia ng'ambo ya pili utaliona jengo refu linaitwa BENJAMIN MKAPA TOWER nenda hadi gorofa ya saba kuna Ofisi za NSSF Makao Makuu unaweza ukasaidiwa na kuelekezwa zilipo Ofisi zao Ilala, kama unajali