Msaada: Nyumba ya kupanga Shinyanga Mjini

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,789
Reaction score
4,835
Ninawasalimu nyote:
nina uhitaji wa nyumba ya kupanga(Chumba self contained na Sebule).
Sifa za chumba husika:-
-kiwe Ngokolo,Nguzo nane,na eneo lingine karibu na mjini kati,
mwenye namna ya kusaidia tafadhali.
N.B
Napenda nihamie mapema 1st/January/2015
 
Ninawasalimu Nyote,
mada iliyotajwa hapo juu yahusika,ninatafuta Nyumba(chumba na sebule)katika mji wa Shinyanga sifa za nyumba husika ni kama ifuatavyo:-
iwe maeneo ya Ngokolo,Nguzo nane na pengine popote karibu na mjini kati,iwe na tiles,iwe ndani ya fence,.
Mwenye namna yoyote ya kusaidia awasiliane name kupitia PM!
 
Ngoja nikutafutie dalali wa house hapo Shinyanga! Majengo mapya ndo kuna house za ukweli huko kwingine ni uswazi! I have been at Shinyanga since 1999 to 2013!
 
Ukiza Rajabu muuza mbao,ofisi zake ziko uwanja wa kambarage,karibu na aic kanisa la kambarage,huyu Jamaa ana house za ukweli hapo Shinyanga! No yake nimepoteza siioni!!
 
Ukiza Rajabu muuza mbao,ofisi zake ziko uwanja wa kambarage,karibu na aic kanisa la kambarage,huyu Jamaa ana house za ukweli hapo Shinyanga! No yake nimepoteza siioni!!

Nashukuru kwa mchango wako,nikipata Ngokolo patanifaa pia!
 

Nisalimie Mademu Wa Kinyantuzu Huko!
 
IPO home karibu ma kom secondary kama uko tayar sema nikuunganishe na mshua 0752215730
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…