haa haa watu8 baba yangu alikuwa akipenda sana hizo nyimbo yaani akilewa ni lazima nyumba nzima mcheze, mama alikuwa anachukiaje sasa!!
Hey...please nitafute baadaye nimekutwa na majangaz mwenzio
haa haa haa kipindi hicho nchi ilikuwa na discipline kweli duuuh.Wazee wa zamani na zile bia za kunywea uvunguni (enzi za Nyerere ukionekana umelewa tu utakiona cha mtema kuni), walikuwa na fujo sana.
Eti enzi hizo ukionekana umelewa au unakunywa basi unaonekana una heeela...
best moja ya nyimbo zake ni ule wimbo walioimba kina hisia ule wa pamoja jumapili . unamahadhi ya kibolingobolingo.
Wewe inaonekana umem miss baba yako