Msaada nyimbo za kwaya hii

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Wakuu nitapata wapi link ya free download ya nyimbo za kwaya ya barabara ya 13 Bulyanhulu.Zipo baadhi zinapatikana tubidy.com lakini zina quality ndogo na nyingine ziko vipande,hazijakamilika mpaka mwisho.
 
Kwa ma free downloads, mp3 tunes, HD video za kumwaga, gonga hapa
 
Wakuu nitapata wapi link ya free download ya nyimbo za kwaya ya barabara ya 13 Bulyanhulu.Zipo baadhi zinapatikana tubidy.com lakini zina quality ndogo na nyingine ziko vipande,hazijakamilika mpaka mwisho.

Samahani mkuu ni barabara ya 13 Ulyankulu au Bulyanhulu?
 
izo nyimbo mi nnazo hadi video...sema ni km mb 500: sasa cjui itakueje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…