Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
Wakuu, Nina Galaxy Note 3 ambayo ina matatizo matatu;
Nimeona nikilileta hapa, kuna watu wenye experience na matatizo mbalimbali hivyo tunaweza kubadilishana ideas na kujifunza mengi. Natanguliza shukrani.
- Unknown Baseband Version
- Null IMEI, nimerestore IMEI lakini haikufanikiwa kurejea
- Pia hii simu haikamati mtandao kabisa.
UPDATE: Naamini tatizo la "Unknown Baseband" n "No Service" ni la hardware na siyo kwenye software, kwa kuwa inashauriwa kufanya reinstallation ya firmware kunasaidia kusolve hilo tatizo kwa kuwa kwa sasa kuna files za kuflash radio zipo hapo hapo kwenye firmware pia nimepewa file la modem lililofanyiwa extraction kutoka kwenye firmware yako lakini bado haijafanikiwa kukamata mtandao.
Huo msala sio kitoto.
kwanza unatakiwa uroot simu yako hiyo.
kisha uback up na urestore efs folder...zipo software kibao za kufanya hayo..
finally utaflash Tar itayokua as results ya kurestore ambayo ina contain kila kitu yani imei na baseband kiujumla.
nipm nikupe link ya files za kurestore efs kama ukikosa.
Hiyo nilishajaribu sana kipindi cha nyuma kidogo, lakini haikufanikiwa. Simu ilikuwa na root access, nikaflash Clockworkmod Rec. na finally niliflash hizo radio files kutoka xda. Hii haikufanikiwa.u have only 2 options,
1.Tafuta radio/modem file kutoka xda forum then flash via recovery, (hoping u already have custom recovey)
2.Download and flash original firmware from SamMobile
i prefer the second option
Nitatembelea kesho kwa mafundi nione kama kuna attemp yoyote ya kusolve. Naamini mkuu ushauri wako utanisaidia,hio issue tushaizungumzia sana hapa haina solution permanent zaidi ya kutafuta mtu mwenye box akurekebishie,
kwa s3 niliwahi kusolve kwa kuflash modem (i9300) ila simu nyengine tofauti na hio ilikuwa ikizingua.
na tatizo hilo husababishwa na ku corrupt efs.
kama unataka solution ya upesi mtafute fundi anaeflash simu na box faster tu kazi inaisha ila kama unataka iwe changamoto endelea kufuata ushauri wa wengine unaweza fanikiwa.
by the way, si tatizo la hardware, ni tatizo la software asije kudanganya mtu akaifungua simu
Shukrani sana ndugu kwa msaada. Nlifanya hivyo (rooting) kipindi cha nyuma kisha nikarestore efs folder, baada ya hapo sikufanya step hiyo ya mwisho that's why sikufanikiwa. Nitaku-contact kama nisipofanikiwa. Shukrani sana kiongozi.
Nitaleta mrejesho mkuu. Ubarikiwe sanastep ya mwisho ndo inasolve tatizo na kaz ndo inakwisha...
gud lucky.