Moudy Boka
Senior Member
- Jan 14, 2012
- 103
- 32
Waumini naombeni msaada, simu ya wife Samsung Note 3 imezima baada ya kudondoka ndani ya ndoo ya maji. Je hii simu ndo imeshakufa au inatengenezeka? Kama inatengenezeka niende wapi kwa hapa Dar? Mwenye kujua anipe ushauri maana muda si mrefu nitatakiwa kununua nyingine.