kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,646
Wakuu kwema,
Nina samsung a20s nimeitumia kama miez 3 sasa nikaona niireset ianze upya tena coz ilikuw na vitu vingi
Sasa kimbembe kimekuja baada ya kereset, haisomi laini inaandika emergency
Nikaipeleka kwa dogo mmoja akaiflash kwa kuiwekea firmware nyingne kwa kutumia odin lakn tatzo bado liko pale pale
Mwenye uelewa na hili anaweza nisaidia
Natanguliza shukran.