Toka jana nashindwa kubrowse, application zote hazifunguki na configuration zimepotea zote....pia nashindwa kusoma text, ninapojaribu kusoma simu inazima na kuacha mwanga mweupe...naombeni msaada wenu, tatizo laweza kuwa nini na inaweza ikapona?
samahani model ni>>>nokia 2300 classic v09.97 18-06-10