Msaada: Nokia 6300 inanipasua kichwa.......

Msaada: Nokia 6300 inanipasua kichwa.......

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,393
Reaction score
38,004
Toka jana nashindwa kubrowse, application zote hazifunguki na configuration zimepotea zote....pia nashindwa kusoma text, ninapojaribu kusoma simu inazima na kuacha mwanga mweupe...naombeni msaada wenu, tatizo laweza kuwa nini na inaweza ikapona?
samahani model ni>>>nokia 2300 classic v09.97 18-06-10
 
nenda kwa mafundi simu waiflash kishawakuinstall lie software nyengine hiyo imecorrupt..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom