Ndugu wataalamu!
Ninatumia decoder ya continental ambayo ina kama mwez sasa haioneshi channels. Na ninachokiona kitu kigeni kwenye decoder hii ni kwamba ile taa ya green ambayo huwa inawaka kwenye neno lililoandikwa lock (ambalo lipo jirani na neno power..ambapo taa nyekundu huwaka) siku hizi haiwaki teena badala yake imebaki hiyo taa nyekundu ya power ndo inawaka, na hata nikitaka nitumie remote kuangalia channels kwenye decoder hii hairespond chochote.
Msaada tafadhali.
Thaanks in advance