Msaada: No service kwenye simu yangu

Msaada: No service kwenye simu yangu

Gemulsion

Member
Joined
May 22, 2018
Posts
16
Reaction score
1
Kwa mtaalamu yeyote wa Android naomba anisaidie namna ya kutatua tatizo hili kwenye simu yangu.
Lilianza kwa line moja ila kwa sasa linasumbua kwa line zote mbili. Simu ni Redmi3S Android version 6.0.1
Natanguliza shukrani
 
Hongera kwa kuwa na cm yenye vision kubwa
Vipi umejaribu kubadili comfrigation za mtandoa husika?
 
Kwa mtaalamu yeyote wa Android naomba anisaidie namna ya kutatua tatizo hili kwenye simu yangu.
Lilianza kwa line moja ila kwa sasa linasumbua kwa line zote mbili. Simu ni Redmi3S Android version 6.0.1
Natanguliza shukrani

Imefungwa hiyo jaribu kunitafuta
 
Kwa mtaalamu yeyote wa Android naomba anisaidie namna ya kutatua tatizo hili kwenye simu yangu.
Lilianza kwa line moja ila kwa sasa linasumbua kwa line zote mbili. Simu ni Redmi3S Android version 6.0.1
Natanguliza shukrani
Kwa shida hiyo flash modem pekee simu yako itapona.
 
natumia LG K-120 inasumbua sana katika kudownload apps na hata ukidownload pia zinajistoped kla mara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom