G Gemulsion Member Joined May 22, 2018 Posts 16 Reaction score 1 Jun 2, 2018 #1 Kwa mtaalamu yeyote wa Android naomba anisaidie namna ya kutatua tatizo hili kwenye simu yangu. Lilianza kwa line moja ila kwa sasa linasumbua kwa line zote mbili. Simu ni Redmi3S Android version 6.0.1 Natanguliza shukrano
Kwa mtaalamu yeyote wa Android naomba anisaidie namna ya kutatua tatizo hili kwenye simu yangu. Lilianza kwa line moja ila kwa sasa linasumbua kwa line zote mbili. Simu ni Redmi3S Android version 6.0.1 Natanguliza shukrano