Na ikishindikana hapo nadhañi itakuwa si software problem but hardware problem(Sound card)tafta driver pack solution half run ikiwa na access ya internt baada ya hapo fuata maelekezo driver gan zimekosekana hlf install
Sound card imekufa..tumia soundcard ya usbHabari wakuu,
Laptop yangu aina ya acer aspire e3-111 yenye windows 7 x64 na speaker za Realtek; ilianza tatizo la kutotoa sauti, hata nikichomeka earphone sauti haitoki.
Nimeinstall latest audio drivers za exact model yangu kutoka kwa website ya acer wenyewe(baada ya kuingiza product code) lakini kilichofata ile icon ya kuongezea sauti kwenye taskbar ikawa na alama ya X hadi sasa hivi
Nimejaribu kuinstall windows upya bila mafanikio. Nna wasiwasi labda sound card imekufa kabisa
Naombeni ushauri wenu wakuu, hapa tatizo ni nini haswa, na solution yake.
Inawezekana kabisa.Muone fundi yeyote wa computer anayeeleweka kisha ataifungua na kubadilisha.Andaa pesa ya ufundi na kifaa.Mkuu inawezekana kureplace hiyo sound card kwenye laptop??
Inategemea na aina ya computer.Lakini haiwezi kuvuka 50....abt 25-50..zina range kwenye bei gani hizo soundcards