Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Wakuu niambie njia nzuri ya kuhisahau namba ya demu wangu wa zamani yani Kanisaliti Sitaki kabisa Kuwa na mawasiliano nae kabisa Kwa njia yoyote Ile ,Ila kibaya ni kwamba namba yake nliikariri.NIFANYAJE!??
labda uugue uchizi uende milembe ukipona utasahau vingnevyo tafta mwingne ikiwezekana oa na zaa nae mke mpya x wako utamsahauWakuu niambie njia nzuri ya kuhisahau namba ya demu wangu wa zamani yani Kanisaliti Sitaki kabisa Kuwa na mawasiliano nae kabisa Kwa njia yoyote Ile ,Ila kibaya ni kwamba namba yake nliikariri.NIFANYAJE!??
Hii dawa ikifanya kazi mkumbushe kuleta mrejeshoTafuta manzi wengine watano then kariri namba zao.
Haha...Hii dawa ikifanya kazi mkumbushe kuleta mrejesho