Mdau,
Kuna watu wanapenda kuandika vitu wajihesabu wao ni wana forum na wana smart phone wanaweza kuchangia Mada.
Hili swali lako ni la kuuliza wana jamii kweli?
Hiyo Mali yako so hadimu au ni special saaana kwamba ni ya kutafuta au Ina mpango maalum!
Unataka mtu achangie nini zaidi ya nilivyochangia kwa kukupa moyo kuwa hizo ni taka taka zimejaa kariakoo?
Ushindani, ushindwani wote utaupata hapo
Wapi wachina wenyewe haya za Chobisi watakupa..