Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima naomba kwa anaye fahamu shule za private za advance zenye ada chini ya million 2 zilizopo Dar es salaam.
Kama mkiniambia Na ada zake itakua vizuri zaidi.
Nawasilisha naombeni msaada wenu.