Kamuone daktari wa saikolojia.Habari za hapa!!
hii hali siielewi itaisha lini! huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi Najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mambo
yaliyoniathiri ubongo hadi leo
mambo hayo ni; 1] kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo,, mpaka leo hii nasota taasis binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia. 2] KUsalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mam baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili Nipotee dunian naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata,, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha Mwingine sas ya nin nibaki? sasa baada ya kufeli kujitoa duniani,, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivo, POMBE situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie,,,,, juzi tu apa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya ivo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yaan mawazo yakarudi upya,,. sasa nisaidieni.
Mmmmm!!!!!!! asante mpendwa katika Bwana!!!!!! ila mimi sijasign mikataba ya aina yoyote!!!! au kuna namna wanavosign?Pepo la hasira limekuvaa ndugu. Tena linaweza kukupelekea ukajiua. Muombe Mungu sana vunja mikataba na majini hasa makata ndo kazi yake. Kwani kazi mpaka serikalini kuna nguvu inakudrive unknowingly
Huo ni ukame tu au ugwadu unakusumbua,tafuta pozo la roho aje akupe ile kitu roho yako inataka.Habari za hapa!!
hii hali siielewi itaisha lini! huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi Najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mamboyaliyoniathiri ubongo hadi leo mambo hayo ni;
1] kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo,, mpaka leo hii nasota taasis binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia.
2] KUsalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mam baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili Nipotee dunian naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata,, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha Mwingine sas ya nin nibaki? sasa baada ya kufeli kujitoa duniani,, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivo,
POMBE situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie,,,,, juzi tu apa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya ivo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yaan mawazo yakarudi upya,,.
Sasa nisaidieni.
Mbona sababu unazijuaHabari za hapa!!

amein!!!! thanks kwa faraja MUNGU akubariki!!!ni hali inayowakuta watu wengi, over 60% ya binadamu wote, kwa hiyo usiwe na wasiwasi hauko peke yako..wangine wana makubwa zaidi ila wanavaa uso wa furaha na tabasamu ili kuyaficha magumu yao!
Are you worth to die young and simple like that?
If you can allow yourself to think more about your situation, trust me! there is always a way out to complete happiness!
pls think about your family, your destined most beautiful and exciting future,
there is always a way, do not allow your mind to put a limit
anger represents end,accepting failure,etc
have you accepted failure, you can move on, just make up your mind
ningepata muda wa kuongea na wewe ningekuelewesha vizuri, hata mm nimepitia
Elimu!Pepo la hasira limekuvaa ndugu. Tena linaweza kukupelekea ukajiua. Muombe Mungu sana vunja mikataba na majini hasa makata ndo kazi yake. Kwani kazi mpaka serikalini kuna nguvu inakudrive unknowingly
Huenda ukawa na hormonal imbalance.
Hivyo, nenda kamtafute shrink na kama ni mzuri atakushauri pia uende ukafanyiwe physical.
Zaidi ya hapo unahitaji mtu [unayemwamini] wa kuongea naye na kukusikiliza [pasipo kukukosoa sana].
Wakati mwingine kuyaongea mambo yako na mtu kunasaidia kupunguza makali ya hisia ulizonazo.
Ujaaliwe heri tele.
ASante mkuu!!! shrink ndo waaina gan? kunifanyia physical inakuwaje hapo?Huenda ukawa na hormonal imbalance.