Forforty Member Joined Nov 13, 2019 Posts 85 Reaction score 87 Dec 9, 2019 #1 Huwa natokewa na uvimbe huo maeneo ya joint ya kiganja cha mkono, huwa unatokea baada ya muda unapotea. Nini tatizo na ni nini muarobaini wake? Tafadhali wanajamvi naomba mnisaidie.
Huwa natokewa na uvimbe huo maeneo ya joint ya kiganja cha mkono, huwa unatokea baada ya muda unapotea. Nini tatizo na ni nini muarobaini wake? Tafadhali wanajamvi naomba mnisaidie.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,777 Reaction score 126,724 Dec 9, 2019 #2 Huo uvimbe huwa unauma au hauumi? Muone Daktari!
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 10,002 Reaction score 16,240 Dec 9, 2019 #3 Causes unspecified Na pia hakina madhara sna, Ila ukiona disturbance sana unaenda hospital wanakatoa kwa upasuaji mdogo.
Causes unspecified Na pia hakina madhara sna, Ila ukiona disturbance sana unaenda hospital wanakatoa kwa upasuaji mdogo.
Forforty Member Joined Nov 13, 2019 Posts 85 Reaction score 87 Dec 9, 2019 Thread starter #4 Mwifwa said: Huo uvimbe huwa unauma au hauumi? Muone Daktari! Click to expand... Hapana haumi kabisa ila unanikosesha raha I don't feel comfortable
Mwifwa said: Huo uvimbe huwa unauma au hauumi? Muone Daktari! Click to expand... Hapana haumi kabisa ila unanikosesha raha I don't feel comfortable
Forforty Member Joined Nov 13, 2019 Posts 85 Reaction score 87 Dec 9, 2019 Thread starter #5 Suriya said: Causes unspecified Na pia hakina madhara sna, Ila ukiona disturbance sana unaenda hospital wanakatoa kwa upasuaji mdogo. Click to expand... Kwakweli unanikosesha raha, hakuna njia nyingine yoyote zaidi ya upasuaji?
Suriya said: Causes unspecified Na pia hakina madhara sna, Ila ukiona disturbance sana unaenda hospital wanakatoa kwa upasuaji mdogo. Click to expand... Kwakweli unanikosesha raha, hakuna njia nyingine yoyote zaidi ya upasuaji?
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 10,002 Reaction score 16,240 Dec 9, 2019 #6 No, labda miti shamba. Forforty said: Kwakweli unanikosesha raha, hakuna njia nyingine yoyote zaidi ya upasuaji? Click to expand...
No, labda miti shamba. Forforty said: Kwakweli unanikosesha raha, hakuna njia nyingine yoyote zaidi ya upasuaji? Click to expand...