Msaada: Nina roho mbaya sana jamani

we mbwa tu hujakutana na ma mafia kama mimi nakufumua alafu nakufiraa vilevile
 
Wewe katika Siasa za hapa Bongo unashabikia chama gani kwanza??
Maana kuna vitu naviona kwako nataka nivithibitishe kama ni kweli
 
Alafu usituletee thread za kichoko humu
 
Siku mbili zilizopita ulisema watu wanakupenda katika thread yako ya Historia ya maisha yako, na ni msaidizi wa watu wengine, imekuwa aje tena?
 
Uko sahihi kabisa kulingana na hitaji la moyo wako, nakushauri achana na ubabe kwani sheria za nchi zitakuhusu
 
Zipo njia za kufanya shikamana na dini yako jifunze kuhusu Upendo ,au jiunge na vikundi vya meditation au yoga na ufate kanuni zao tafuta elimu kuhusu jinsi ya kuwa MTU sahihi
 
Acha kujipa ujiko wewe... unafikiri kuwa na roho mbaya mchezo!! Stress za maisha zimetengua mishipa ya sympathy ndo unadhani roho mbaya hiyo!!!

Roho mbaya inaendana na ukatili; hebu tutajie ukatili mmoja ambao umeshawahi kuufanya! Au assume Scorpion yupo Posta Mpya na wewe upo anywhere along Morogoro Road kuanzia Kimara kuja city center (na-assume unaifahamu Dar)! Je, unadhani upo pande zipi kumfiia Scorpion mtoboa macho aliye Posta Mpya? Bado unacheza cheza pande za Kimara, ushafika Ubungo, Manzese au hata Mapipa ushapita kumkaribia Scorpion?
 
Dah..hayo mbona kawaida sana..hasa kama uliyapata Nov mwaka jana...nilijua labda halali bila kunywa supu ya kichwa cha binadamu.... BTW una wazazi wangapi?[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkuu mimi nina mzazi mmoja tuu (mama).
Baba alifariki nikiwa mtoto hata sikufanikiwa kumuona.
Alifariki nikiwa na miaka 9 na aliachana na mama yangu sababu ya ulevi wake na masifa.
Naskia alikua na dharau sana na alikua anamtukana na kususia chakula cha mama arudipo kazini.
 
Mkuu hyo roho nzur sana, tena unatakiwa ujivunie mzee
 
Wewe katika Siasa za hapa Bongo unashabikia chama gani kwanza??
Maana kuna vitu naviona kwako nataka nivithibitishe kama ni kweli
Mkuu nilikua chadema ila baada ya mbowe kumuingiza lowasa basi habari ikaishia hapo.
Mimi sina chama bali naangalia mtu binafsi.
Saivi magufuli ndio kipenzi changu.
 
Dah..hayo mbona kawaida sana..hasa kama uliyapata Nov mwaka jana...nilijua labda halali bila kunywa supu ya kichwa cha binadamu.... BTW una wazazi wangapi?[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Mkuu ni yapi hayo niliyoyapata?
 
Mkuu nilikua chadema ila baada ya mbowe kumuingiza lowasa basi habari ikaishia hapo.
Mimi sina chama bali naangalia mtu binafsi.
Saivi magufuli ndio kipenzi changu.
Usibadili topic hapa endeleza wewe si unaweza ligi alafu ukubali kushindwa ?
Mbona unanikwepa ?
Mwanaume rijali kwanza hawezi akaandika hivi "saivi magufuli ndio kipenzi changu" huu ni uchoko wa hali ya juu
 
Siku mbili zilizopita ulisema watu wanakupenda katika thread yako ya Historia ya maisha yako, na ni msaidizi wa watu wengine, imekuwa aje tena?
Nina romantic face $ body ila moyoni ndo nilivo.
Hali hii imefanya wasichana kukaa mbali na mimi.
 
Je unakubali na kuamini Mungu yupo na ndio aliyekuumba wewe na wanaokuzunguka pamoja na viumbe na mimea yote?kama ni hivyo yanini kudhuru uumbaji wa Mungu?Tafakari.
 
Mkuu ongeza kiroba nakuja kulipia
 
Je unakubali na kuamini Mungu yupo na ndio aliyekuumba wewe na wanaokuzunguka pamoja na viumbe na mimea yote?kama ni hivyo yanini kudhuru uumbaji wa Mungu?Tafakari.
Mkuu mimi na hofu ya Mungu ndio ila kuna mda nakuwa na moyo mgumu hata nikiskia mpuuzi gani anapigwa siendi kabisa kumuokoa.
 
makushauri ukaishi buguruni[emoji35] [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…