Msaada: Nina matatizo haya kiafya

Pole sana mkuu! Kichomi kinakuuma mda gani,Baada ya kula? Wakati wa kutembea au wakati umelala?

Kwa kichomi baada ya kula hapo itakuwa unazidisha kiwango cha mososi ( au utakuwa bhana misosi)

Wakati wa kutembea au wakati umelala hapo itakuwa moyo hausukumi damu vizuri kupeleka sehemu mbali mbali za mwaili.

Kuumwa kifufua/kuwasha/au kinakuzuia kuongea,pindi uongeapo ndo nacho kinatokezea hyo itakuwa ni wadudu aina ya gram negative bacteria, dawa za mwanzo tumia Azuma hii husaidia kuondoa gram negative bacteria kwa mwili,
Swali kikohozi kikoje kigumu au makohozi yana toka, kama makohozi yanatoka nenda kapime Mycobacteria/Nokida (TB).
Kuumwa kichwa upande mmoja, kizunguzungu nenda kapime Uwingi wa damu(HB) pamoja Typhoid, swali je hujisikii baridi au hujisiki sehemu ya maungio(joints) kama kunavitu vinatembea au kupekecha kama mchanga?

Kuwa na hofu, pata wa kurelax, amgalia presha yako,acha kulala kifudifudi, acha kuvuta bhangi,acha kuvuta sigala na pombe kalikupita kiasi, Swali huwa unajisikia kizunguzungu mda gani je ukikaa chini wakati wa kuinuka ndo inakukuta tatizo hlo la kizunguzungu, ua wakati umelala mida ya usiku?
Na hofu hotokea mda gani, je ni pale umetulia na moyo kushituka gafla au mtu/ kitu kikitoa sauti ndo ndo inatokea.

Akusaidie upone haraka unayemuabudu.
Hakika utapoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom