Pole sana mkuu, kimeanza lini, kina ukubwa gani, na kiko wapi na kimetokana na nini(kuumia, una kisikari , uliungua na moto ai chochote..?).. Kwa haraka tiba ni antibiotics-kama ampiclox na kukisafisha(dressing) lkncha muhimu ni kuangalia kilichosababis
Mtoa mada kamaanisha kwamba mwanamke lazima awe na class na standard..kukamuana kupo lakini sio zile meneja bank twende, trafic twende, msafisha kucha na miguu twende, daktari kala... Yaani unakuta mtu mpaka inafikia papuchi yale kaipa thamani ndogo sana(kajichoka) haujawahi kuona watu kama hawa..unakuta mtu kila mwezi anatiniwa uti, fungus, pid nk.. Mwili wake kaupa thamani ndogo sana alishageuzwa na kila aina ya mwanaume na sisi wengine tunaamini hata ma wewe ukila demu ka huyo unajipa minuksi tu..ha na kukiondoa au kukitibu.. lkn tiba itakuwa mwafaka km utajibu maswali hapo juu..