Msaada: Nina kibamia, nifanyaje?

jamani mi nikijana wa miaka 20 na sijawahi jiusisha na mahusiano kutoka na nakuwa na uume mdo nikiogopa kuaibika kwa yeyote mwenye kuijua dawa ya kuepukana na tatizo ili nahitaji msaada jamani
Paka utomvu wa minyaa au minyara utarefuka tu
 
Hahaha hahahahahaha mkuu unaogopa kuwa kupasuka kichwa Kwa mawazo anyway vijana wenzangu msiogope kuwa na mboo ndogo, kuwa na mboo kubwa au ndogo sio kigezo cha kumlizisha mwanamke ni wewe na yeye ndio chanzo cha kulizika, bamia ina mapishi mengi unaweza kupikia yenyewe,ukachanganya na majani ya maboga,ukapikia dagaa, samaki mlenda, mapishi kedekede usiogope jiamini utawakaza Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…