Inapendeza
Member
- Nov 22, 2017
- 20
- 15
Una umri gani?
Kula dagaa na maziwa calcium inajenga mifupa pia fanya mazoezi ya viungo
Tafuta watu wa mitishamba watakuunga vizuri..huko hospital watakuozesha mguu.
Kuna mtaalam niliwahi sikia yuko tandika anaunga ndani ya mwezi tuu na mpira eti unacheza
Hapo Mwembeyanga Jirani Na Kituo Cha Mafuta Cha Puma Kama Unakwenda Secondary Ya AlhkimaKuna mtaalam niliwahi sikia yuko tandika anaunga ndani ya mwezi tuu na mpira eti unacheza
Hapo Mwembeyanga Jirani Na Kituo Cha Mafuta Cha Puma Kama Unakwenda Secondary Ya Alhkima