Msaada: Nimeugua mara kadhaa magonjwa ya zinaa na sasa kuna mabadiliko ya maumbile yanatokea katika nyeti zangu

Nenda hospitali tu mkuu

Humu utaambulia kubezwa kuchekwa kutukanwa na ushauri kidogo.

Punguza zinaa lakini
 
Ni kweli nilikua nanunua sana wanawake halafu naenda pekupeku,nilikua pia mfalme wa chaputa ila saivi vyote nimeacha tangia huu mwaka uanze.je kuna uwezekano wa kurudi Hali ya kawaida?
Kama uyasemayo ni kweli, inasikitisha sana unanunua wanawake kwa nini usiwe na wa kudumu ukatulia nae anyway, kwa kuwa tayari una tatizo, kaonane na daktari wanawake tuna daktari bingwa wa wanawake sijui wanaume matatizo yenu ya kiafya mnamwona yupi kila la heri mkuu.
 
Habari jioni wapendwa,tafadhalini mwenye uelewa juu ya hili anisaidie nawaomba.nimeugua maradhi ya zinaa zaidi ya mara tano au zaidi,kilichonipelekea kuandika uzi huu ni kwamba korodani {pumb*}moja imeshuka,yaani zimepishana.moja imevutika na nyingine ipo kawaida,kingine uume umekua mwembamba tofauti na mwanzo.kingine uwezo wa kushiriki tendo imeshuka tofauti na mwanzo,mwanzo nilikua naenda hadi raundi 4 lakini now mbili tu halafu ni kwa mda mchache.nisaidieni ili nijue tatizo ni nini.nawatakia ucku mwema
Ndugu lekumok, kwa tatizo hilo unaweza wasiliana nami nipate kukusaidia utanitafuta kwa wakati wako kwa kunipigia simu ama what's app +255 655 821 550
 
Back
Top Bottom