Msaada: Nimetekwa China

Hapo bado Serikali haija ruhusu... kilimo na matumizi ya majani korofi (bange)... aseee uyu jamaa sijui kavuta iliyo otea chooni.
 
Duh
 

Attachments

  • IMG-20181129-WA0005.jpg
    31.3 KB · Views: 31
Hawana madhara ndio maana hawafuatiliwi kihivyo.
 
Huyu jamaa yuko "delusional" na asipoangalia anaweza kuwehuka siku si nyingi. Kwwa nini CCM imwogope na kumfuatilia mwanafunzi? hakuna sabbu yoyote ya msingi
 
Joseph umepatwa na tatizo la Depression, you are depressed, ni muhimu Sana ukapata Mtaalam.
 
Huyu jamaa yuko "delusional" na asipoangalia anaweza kuwehuka siku si nyingi. Kwwa nini CCM imwogope na kumfuatilia mwanafunzi? hakuna sabbu yoyote ya msingi
Sasa wewe ungechunguza ujue kwanini majasusi wa CCM wananifatilia hivyo!
Kabla ya kucoment huku inafaa ujiulize kwanza kwanini nafuatiliwa hivyo ndipo uje na conclusion hapa.

Nawashauri watanzania wawe wanakitathimini kitu kwanza ndipo waconclude hapa!
Wewe kwa akili zako huwezi jiuliza hili swala linakua hivi?
Unadhani mtu anaamka tuu from nowhere kuja kulalamika hapa?
Think twice mkuu.
 
huyu muandishi n kama Kichaa kabisa! nimesoma nimefika katikati nikagundua napoteza muda.

Yaani CCM ambayo ndio inayounda Serikali inayosimamia vitengo vyote vilivyokupa nyenzo za kwenda China ikuruhusu uende china ndio itume watu wakufuate???

kama hujavuta Bangi wewe ni kichaa!! huyo aliyekufananisha na Dr, shika kakosea sana yaani hujafikia kiwango cha yule mzee

wewe ni HOVES kabisa
 
Nimeishia robo tu wala sina haja ya kuendelea nasoma baadhi ya comment .
Maana kila kitu "hali ilikuwa mbaya" "nimetengwa na jamii""nimeshindwa kusoma""vita ilikuwa kubwa"na hatupewi sababu au namna hayo mambo yanavyofanyika na kwa lengo lipi.
Ni mmoja wa wanafunzi wa vyuo wasiojitambua hawa
 
Lupango...ORIGINAL
 
Sijaelewa hata kidogo sasa tukusaidie nn wakat hutujui umefanya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…