MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,262
- 5,942
sikuiz hamna hayo,unatoa ela uandiki popotePole fuatilia utapata aliyetoa Ni Nani kwani Ni lazima kwa wakala Kuna namba ya kitambulisho na saini ya mteja aliyetoa pesa
Kweli,, watu ni vigeugeu sana hivyo hatuwezi kujua kama ndo wale wale walioniuziaPole. Jipange tu upya. Jitahidi upate line zanye jina lako pia. Ukute hata huyo muuzaji naye ni jizi. Pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuDah,pole sana mkuu..hawa wafanyakazi inatakiwa kuwapa elimu ya kutosha sana,
Nami naamini hivyo kama wahusika watakuwa serious kwa dhamira ya dhati kabisaUwezekano upo mtu wa kwanza kukamatwa. Hua ni wakala ela ilipotoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante,,pole sana mkuu.... iv hapa albadili haifanyi kazi jamani
Pole sana Mkuu ilishawahi kunikuta hiyo, lkn sio kwa style hiyo. Kuhusu polisi nakushauri achana nao, na naweza kusema kwa kiasi kikubwa polisi wanachangia huu wizi uendelee. Mimi baada ya Pesa zangu kuhama. Nilifuatilia mpaka nilijua simu 10 anazowasiliana Mara kwa Mara. Nilipata hadi eneo alikozitolea. Tatizo ilikua polisi tu twende tigo wakaombe kuwasha GPS ili kumtrace yuko wapi. Polisi wakawa wanataka niwape laki 3 ya mafuta sijui, wakati Mimi nimeshapata hasara ya milioni moja.Habari wakuu
Ninajishughulisha na biashara ya m- pesa na tigo pesa ( haina mda mrefu) ambapo kwa siku za nyuma niliajiri kijana aliyehudumia hapo hadi mwisho wa mwezi wa pili 28/02/2019. Baada ya huyo kijana kudai anataka kwenda kwao kusalimia nililazimika kutafuta mtu wa kusimamia ofisi! Nilipata kijana mwingine ambaye alianza rasmi kazi 01/03/2019 nikiwa naye nikimpa maelekezo namna ya kuendesha biashara,,
Juzi tarehe 03 nilisafiri kidogo kwenda kuona familia na kumwacha peke yake,
Jana alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kama tigo makao makuu na kumpa taarifa juu ya laini ya tigo (till)kuwa usajili haujakamilika na kumweleza kuwa lain inaweza kufungwa na kumtaka akamilishe usajili...
Huyo jamaa alimpanga dogo kwa kumpa maelekeo mara kadhaa na kufanikiwa kutumiwa pesa kutoka tigo pesa, na hatimaye kumchoa kwenye m- pesa pia,,
Dogo alifanya miamala mara kadhaa bila kujua kwa kufuata maelekezo ya huyo jamaa anayejiita huduma kwa wateja makao makuu
Baada ya kugundua kuingizwa kingi alinipa taarifa SAA tatu usiku nkalazimika kuja Leo kufatilia na kubaini utapeli huo,,,
Nilipiga simu vodacom wakaniambia pesa ilitolewa ndani ya dakika tano na wakanijbu hawana msaada mwingine kwani pesa ikishatolewa hawana uwezo kwa kuirudisha,,
Nilienda polisi kuripoti na kuandikiwa RB na kuambiwa nirudi kesho yake ili nipewe mpelelezi wa suala langu!
SWALI: Je, kuna uwezekano wa kufuatilia hadi kwa wakala aliyetoa pesa na kumkamata mhalifu?
Je, ni changamoto zipi ninaweza kupata katka kutoa ushahidi kwani hizo tills zote hazijasajiliwa kwa majina yangu kwani nilinunua kwa watu( mawakala wanazoziuza)?
.
.
Nakaribisha mawazo yenu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu,, ushauri mzuriPoie ndg yangu! kwenye maelezo yako umesema ulimpanga dogo na ukamfundisha kila kitu...... kwa ufahamu wangu na nyakati tulizonazo nilijuwa kubwa zaidi ni kumpanga dogo kuhusu hawa matapeli..... kwani kumzidishia mteja au kumpunja ni ajali za kawaida ila ilibidi udeal kumwelekeza kuhusu hawa wapigaji ambao wapo kama njugu kaka hilo ndo lilikuwa kubwa! Pole khs pesa zako nenda makao makuu ya mtandao husika japo jumba bovu litmwangukia wakala alietoa pesa.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu,,, nmeshajeruhiwa lakini nadhani ni muda wa kupambana na hawa watuPole nyingi. Mimi huwa siyo mpenzi wa ''mwachie Mungu na ujipange upya'' kama wengi wanavyosema. Hii tabia ya kukata tamaa na kutotaka kufuatilia mambo imetamalaki hapa Tanzania na ndiyo maana utapeli unazidi kuwa tatizo. Wengi hawajui kuwa kukamata mwizi ni muhumu kuliko hata kurudishiwa mali iliyoibwa. Mimi nakushauri jaribu tena kurudi polisi upewe mpelelezi na uone atakavyosema. Kama utaona ana dalili zozote za kutaka rushwa mwambie huna uwezo. Ikiwezekana, kama fedha zilizoibiwa siyo nyingi mwambie mwambie wewe nia yako ni kukamata hao matapeli ili waadhibiwe na hata kama atawakamata anaweza kuzichukuwa fedha kama zawadi. Kwa uzoefu wa polisi ni kuwa wengi wanapoona kesi ya utapeli ambayo kuna uwezekano wa kuwapata wahalifu huwa wanaichangamkia bila hata kupewa rushwa kwani wanajua wakiweza kuwakamata watawahonga. Mwisho inabidi ujifunze kutokana na kosa. Unapoajiri mtu sehemu kama hizo unabidi umfundishe mbinu za kazi na usimwache mwenyewe wakati akiwa mgeni. Na zaidi chunguza kama huyo aliyesema anaenda kusalimia ndiye aliyekwenda kufanya yake. Na pia hata huyo mgeni anaweza kuwa ''mgeni mjanja''. Siku hizo hasa Dar, kuna vijana wengi, wake kwa waume ni matapeli lakini hujivika majoho ya ''kutafuta kazi'' na mara wanapoajiriwa wanafanya yao.
Teknolojia ni kubwa lakini jeshi letu halijawa tayari kuitumiaHaya ameyasema muheshimiwa Rais juzi,kuwa kwenye jeshi la Polisi kuna udhaifu mkubwa,angalia comments za watu hapo juu,kila mmoja baada ya kujua kesi iko polisi wanashauri aachane na hilo jambo asonge mbele na misha yake...
Hahahaaa,,,Hawa watunza usalama wetu wanaweza mambo ya kudhibiti upinzani tuu
Ngoja niitumie hiiAENDE akiwa amevaa vizuri Sana halafu vingereza Kama vya kwetu kgr uone Kama hajahudumiwa fasta
Huwezijua yawezekana mtu wangu yumo humu piaNaona Matapeli Ya Mtandaoni Yanakushauri Ukae Kimya!
Ni ushamba tu na usela mavi ,, nimllimweleza vitu vingi sema basi tukwanini hukumuonya kijana wako kutopokea simu yoyote inayoingia kwa kupitia laini ya uwakala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hujatapeliwa bali umechomoa!Kiukweli njaa imezidi Jana tu imenipigia hiyo mitapeli inajitambulisha inatoka tigo makao makuu niakamuuliza kuna shida gani jamaa akaniuliza leo umetoa au kupokea pesa nikamwanbia nimepokea na kutoa pesa kidogo akauliza kwahiyo huna pesa kwenye CM nikamwambia ipo akauliza kama ngapi nikamwambia yanini akaanza oh kuna mtu katumiwa pesa kimakosa nikamuukiza yananihusu nini mimi akasema niusalama wa account yako nikamwambia me matapeli hawezi kunitapeli kilahisi vire kusikia neno tapeli kaikata CM faster ni Jana tar 5 mwezi wa 3
Kwa hiyo hukuwakamata?Pole sana Mkuu ilishawahi kunikuta hiyo, lkn sio kwa style hiyo. Kuhusu polisi nakushauri achana nao, na naweza kusema kwa kiasi kikubwa polisi wanachangia huu wizi uendelee. Mimi baada ya Pesa zangu kuhama. Nilifuatilia mpaka nilijua simu 10 anazowasiliana Mara kwa Mara. Nilipata hadi eneo alikozitolea. Tatizo ilikua polisi tu twende tigo wakaombe kuwasha GPS ili kumtrace yuko wapi. Polisi wakawa wanataka niwape laki 3 ya mafuta sijui, wakati Mimi nimeshapata hasara ya milioni moja.
Polisi utapata msaasa na wahalifu watakamatwa usiwe na shakaHabari wakuu
Ninajishughulisha na biashara ya m- pesa na tigo pesa ( haina mda mrefu) ambapo kwa siku za nyuma niliajiri kijana aliyehudumia hapo hadi mwisho wa mwezi wa pili 28/02/2019. Baada ya huyo kijana kudai anataka kwenda kwao kusalimia nililazimika kutafuta mtu wa kusimamia ofisi! Nilipata kijana mwingine ambaye alianza rasmi kazi 01/03/2019 nikiwa naye nikimpa maelekezo namna ya kuendesha biashara.
Juzi tarehe 03 nilisafiri kidogo kwenda kuona familia na kumwacha peke yake Jana alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kama tigo makao makuu na kumpa taarifa juu ya laini ya tigo (till)kuwa usajili haujakamilika na kumweleza kuwa lain inaweza kufungwa na kumtaka akamilishe usajili huyo jamaa alimpanga dogo kwa kumpa maelekeo mara kadhaa na kufanikiwa kutumiwa pesa kutoka tigo pesa, na hatimaye kumchoa kwenye m- pesa pia.
Dogo alifanya miamala mara kadhaa bila kujua kwa kufuata maelekezo ya huyo jamaa anayejiita huduma kwa wateja makao makuu baada ya kugundua kuingizwa kingi alinipa taarifa SAA tatu usiku nkalazimika kuja Leo kufatilia na kubaini utapeli uongo.
Nilipiga simu vodacom wakaniambia pesa ilitolewa ndani ya dakika tano na wakanijbu hawana msaada mwingine kwani pesa ikishatolewa hawana uwezo kwa kuirudisha
Nilienda polisi kuripoti na kuandikiwa RB na kuambiwa nirudi kesho yake ili nipewe mpelelezi wa suala langu!
SWALI: Je, kuna uwezekano wa kufuatilia hadi kwa wakala aliyetoa pesa na kumkamata mhalifu?
Je, ni changamoto zipi ninaweza kupata katka kutoa ushahidi kwani hizo tills zote hazijasajiliwa kwa majina yangu kwani nilinunua kwa watu( mawakala wanazoziuza)?
.
.
Nakaribisha mawazo yenu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tuone!Polisi utapata msaasa na wahalifu watakamatwa usiwe na shaka