habar wakuu
naomba mwenye kufahamu namna ya kuondoa bios password anisaidie coz laptop yangu n dell inspiron 3521msaada jaman nimechanganyikiwa
badil motherboard
bios password ni rahisi kuondoa kama ni mtaalamu wa motherboard, unachotakiwa kufanya ni ku-remove cmos battery kwa dakika tano then replace it, isipotoka kuna n jumpers kwenye motherboard inabidi uzipigishe shot kwa kutumia conductor, kujua hizo jumper za laptop inabidi uwe na ujuzi wa kusoma circuit, printed circuit board(PCB) Fanya hivyo ukikwama nicheki kwa 0784234391, for my side it very simple because nimeshazitoa nyingi sana.
Hii sio kweli kwa majority ya
laptops, CMOS psssword haitoki kwa kuondoa CMOS battery wala kwa
jumpers, CMOS password ni kama anti theft feature kwenye laptop kujaribu
kupunguza soko la laptop za wizi.
Hii sio kweli kwa majority ya
laptops, CMOS psssword haitoki kwa kuondoa CMOS battery wala kwa
jumpers, CMOS password ni kama anti theft feature kwenye laptop kujaribu
kupunguza soko la laptop za wizi.
kila laptop ina sehemu maalum ya ku short kama ni mtu wa electronics soma zaidi circuit
Ukiweka na ya HD ndo mwisho wa matatizo, hata akichomoa HD hawezi kusoma kitu. Ila uwe na backup ya data zako maana hd ikibuma inakuwa balaa.Siku hizi sina wasiwasi, nimeweka bios password nkamalizia na ya window kawaida. Hata akiiba mtu, kutoa bios password na yeye ataingia gharama tuuuu!!!! naikubali sana bios password!!
Jamaa kasema unaweza kuifuta
kwa kuchomoa CMOS Battery au kwa kutumia jumpers, hili si kweli kwa
majority ya laptops.
Soma reply yangu ya kwanza nimeshamwambia anaweza kupata instruction za
kupiga shoti akigoogle.
Ukiweka na ya HD ndo mwisho
wa matatizo, hata akichomoa HD hawezi kusoma kitu. Ila uwe na backup ya
data zako maana hd ikibuma inakuwa balaa.
nilicho note kutoka kwako hujui ni nini kinachopigishwa shot, jumper ambazo ni unique for any laptop ndio hupigishwa short
Nope. Umekremu kwenye desktop utakuwa, most laptops hazikuruhusu kufuta BIOS password kwa kutumia jumpers.