Msaada: Nimesahau password ya iphone 6

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
5,424
Reaction score
8,046
Habari wana jf,
Kuna rafiki yangu anatumia simu ya iphone 6 aliletewa na kaka yake na pia kaka yake huyo ndio alimuunganisha simu yake na email yake, sasa rafki yangu kachezea simu yake, sasa inahitaji password na kaka kaisahau, hawezi ku update app yoyote.
 
Achana na hiyo michezo.... ni hatari kwa hayo madude, endapo mtu aliye poteza hiyo simu yake akaanza kuisaka... utaishia pabaya...

Na kama kweli ni yako, basi wasiliana nao hao jamaa online, wata kuomba baadhi ya taarifa zako ikiwemo pamoja na imei, emails, n.k ili kujiridhisha .... na hatimaye watakusaidia...
 
Usije fungwa mkuu, simu hizo ni majanga. ..... nina uhakika ni stolen phone, hujasema ukweli.
Hapana mkuu, hiyo simu anayo karibu miaka miwili sasa na huyo kaka yake hua anaenda China. Na ndie alimletea hiyo simu
 
Tatizo huyo broo wake alimwekea email yake, cjui hata kama ana kumbukumbu za hiyo email maana password tuu kasau, na yeye anasema mpaka aende China.
 
Kama email pia huikumbuki huyu rafiki yako kaka yake ni mwizi (samahani lakini)
Sio mwizi mkuu nna uhakika nae maana yeye ndio huwa anasafiri kwenda china ndio kamletea rafiki yangu hiyo simu, pia email inaonekana lkn password ndio haikumbuki, na aliifungua kwa email yake kwa kua rafiki yangu hakua na utaalam wowote jinsi ya kuitumia hiyo simu
 
Inawezekana vipi utumie simu zaidi ya miaka miwili...uje usahau namba ya siri hivi hivi.....

Kwa matumizi ya iPhone huwezi kufanya task nyingi bila ya kujua...pasword zako....sasa yeye kwa kipindi cha miaka hiyo miwili alikuwa anafanyaje hayo pasi na kujua hizo pasword.....

Inawezekana wewe umeuziwa simu ya wizi sasa unatafuta namna ya kuifungua.....
 
password ya nn
-ku unlock phone
-ya email ya simu
-ya icloud/itunes account
-ya app husika
hauko specific ni password ipi
 
Ishakua kopo iyo ni ya kut upa wameshindwa FBI kuzifungua izo sim ni shida
 
Hapana mkuu, hiyo simu anayo karibu miaka miwili sasa na huyo kaka yake hua anaenda China. Na ndie alimletea hiyo simu
Si umesema kaiunga kwa email ya kaka yake mwambie ai reset password kwa kutumia hiyo email. Yani aende kwenye web ya apple kwenye forgot password aweke email aliyotumia atatumiwa link ya kureset password via email
 
Inafunguka wasikutishe hao tena bila kutumia jail break ila kitu muhimu utapoteza data zako
 
Yaan kasahau hadi e mail address[emoji38] [emoji38] kuna namna hapo sio bure
 
Si umesema kaiunga kwa email ya kaka yake mwambie ai reset password kwa kutumia hiyo email. Yani aende kwenye web ya apple kwenye forgot password aweke email aliyotumia atatumiwa link ya kureset password via email
Hata mimi nimemwambia hivyo mkuu kasema kaka kamwambia Haiwezekani mpaka awapelekee Apple, lkn nimeiangalia inauliza kama umesahau password lkn nimeshindwa kufanya utundu wangu sababu kuna maswali ningeshindwa kujibu
 
Kama tatizo ni pasword ya email afanye recovery
Mimi sio mtumiaji wa hizi simu, yeye kaniambia apple hua na email yake pekee km ilivyo gmail ya playstore, simu anapiga sms za kawaida anatuma na kutumiwa, lkn tatizo hawazi ku update app yoyote na hata whatsapp yake imegoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…