Sinewy JF-Expert Member Joined Aug 20, 2012 Posts 368 Reaction score 173 Feb 27, 2014 #1 naombeni msaada wa namna ya kupata password mpya ili niweze kuitumia email yangu natumia sim hivyo hata google play haifunguki
naombeni msaada wa namna ya kupata password mpya ili niweze kuitumia email yangu natumia sim hivyo hata google play haifunguki
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,587 Reaction score 1,858 Feb 27, 2014 #2 Sinewy said: naombeni msaada wa namna ya kupata password mpya ili niweze kuitumia email yangu natumia sim hivyo hata google play haifunguki Click to expand... Umejaribu ku google? Nway fungua gmail kwa kutumia pc afu nenda sehememu imeandikwa need help karibia na button ya login ukifungua huko fata maelekezo
Sinewy said: naombeni msaada wa namna ya kupata password mpya ili niweze kuitumia email yangu natumia sim hivyo hata google play haifunguki Click to expand... Umejaribu ku google? Nway fungua gmail kwa kutumia pc afu nenda sehememu imeandikwa need help karibia na button ya login ukifungua huko fata maelekezo
Sinewy JF-Expert Member Joined Aug 20, 2012 Posts 368 Reaction score 173 Feb 27, 2014 Thread starter #3 asante