Ingia kwenye website yao (yaani TRA) kuna chaguzi(options) hapo mbalimbali (zisome vizuri) mojawapo itakupa muongozo jinsi ya kuingiza taarifa zako ulizosajilia ili kupakua (download) TIN yako .
Sioni ajabu kwani unaonekana haujui thamani yake ndiyo sababu unaiita karatasi, ukienda TRA ukiwaambia umepoteza karatasi ya tin watakuambia wao huwa hawatoi karatasi hizo.
Sioni ajabu kwani unaonekana haujui thamani yake ndiyo sababu unaiita karatasi, ukienda TRA ukiwaambia umepoteza karatasi ya tin watakuambia wao huwa hawatoi karatasi hizo.
Unaweza kuipata je ni ile uliyoipata on line? Kama ni ile uliyoipata on line basi unaweza kuingia kwenye account yako na ukaipata! Kama ni ile ya zamani omba loss report nenda nayo TRA utaipata