Msaada: Nimenunua simu yenye icloud

Yani sawa na kuuziwa gari bila funguoo...!
 
Kwisha habari yako, ilete hiyo simu tafadhali
 
kwa ufupi haiwezekani kuiremove mpaka huyo alielogin mwenyewe afanye hivy😵mba Mungu sana isiwe ya wizi maana Icloud ni sehemu ya secutity ya simu za iphone.
 
niuzie mm nina elfu 50 hapa
 
Naona comment za wengi wanakutisha tu hapo,hyo apple id iliyo kwenye simu naweza kuishulikia nikaitoa na ww ukaweka yako na simu ikarudia thamani yake km hapo awali.kwa maelezo zaidi tuwasiliane
 
mkuu hiyo simu tumia ila kuwa makini na uwe tayari kupokea simu mpya za watakao ku trace ka ni ya wizi
 
Naona comment za wengi wanakutisha tu hapo,hyo apple id iliyo kwenye simu naweza kuishulikia nikaitoa na ww ukaweka yako na simu ikarudia thamani yake km hapo awali.kwa maelezo zaidi tuwasiliane
Mkuu unahakika nije inbox maana nami niliuziwa iPad na mtu yupo safarini ameishiwa nauli akitokea South Africa kila nikiifungua tu inanitaka Apple ID verification password sema tu nafanya kusikip nakuitumia kiugumu lakini haipiti dk inaleta msg ya kuupdate ICloud
 
Hyo ni ipad gani? Na inarin ios ngapi?
 
Naona comment za wengi wanakutisha tu hapo,hyo apple id iliyo kwenye simu naweza kuishulikia nikaitoa na ww ukaweka yako na simu ikarudia thamani yake km hapo awali.kwa maelezo zaidi tuwasiliane
Hyo 5s irun ios ngapi?
 
Kwa wale wote mliyokuwa na tatzo km hlo la mlete mada muweke detail za kutosha ili iwe rahisi kusaidiwa
1. Ni iphone au ipod gani
2. Inarun ios ngap
3. Je mail app ipo signed au logout

Kisha mje inbox
 
Kwa wale wote mliyokuwa na tatzo km hlo la mlete mada muweke detail za kutosha ili iwe rahisi kusaidiwa
1. Ni iphone au ipod gani
2. Inarun ios ngap
3. Je mail app ipo signed au logout

Kisha mje inbox
Fursa hiyo mkuu....Vijana wanalialia hapaa kumbe mtaalamu upoo!!
 
Kwa wale wote mliyokuwa na tatzo km hlo la mlete mada muweke detail za kutosha ili iwe rahisi kusaidiwa
1. Ni iphone au ipod gani
2. Inarun ios ngap
3. Je mail app ipo signed au logout

Kisha mje inbox

kashindwa FBI
 
Great thinker wa jf huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…