ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,117
DELETED
salamu kwenu jamaa!!
leo nilikuwa nikimfanyia application (nacte) Mdogo wangu ajabu ile password na email yakufungulia profile hawajatuma kwenye email then nikirudia kuapply tena nakuta ile confirmation code ya M-PESA imeshatumika hivyo mpk mda huu bado sijamchagulia.. nifanye nn ndugu zangu naombeni mawazo yenu

sawa Mkuu!! nashukuru ndugu yanguKwenye website yao wana namba za simu ziko kikanda chukua ya kanda ulipo au yoyote itakayo patikana then utaongea nao! Na Mara nyingi huwa hawapokei simu watakubia Tuma sms ya tatizo lako! Watakuhudumia na utaipata hiyo password! Hata Mimi ilinitokeaga hiyo na wakaisolve vizuri tuu