Watu mnajua kushauri.... DaaahSema ulikuwa umelewa, ukakosea vyumba.
Na usibadili msimamo.
mkuu milango ipo ila aliporudi yeye mwenyewe alijisahau kufunga kwa ndani na mimi ndo kilichonipa jeuri nimefungua nikaingia kama kwangu aisee...Mkuu nakushauri ongea na mwenye nyumba aweke milango haiwezekan mkaish watu wengi af kuna mapazia tu mtu unaweza tu kuingia bila kupiga hodi, shangaz pia mwambie awe analala uchi ili siku ukikosea pena ukiingia tu unaona papa lake
tatizo nyumba nzima wanafahamu mimi sio mtumiaji wa pombe mkuu.
ushauri mzuri ila watanibana kwanini baada ya kumuona shangazi ukakimbia wakati ulikuwa pombe... natakiwa kuwa na point kidogo.Point iko hapo, ilitokea ulikuwa na msongo wa mawazo ukashauriwa kunywa, sasa ulipotoka chooni ukajikuta umekosea chumba. Na hii imetokea kuchanganywa na pombe kwa sababu ni mara yako ya kwanza kunywa.
Nunua na chupa ya konyagi kubwa, imwage nusu ili ukiulizwa ushahidi uoyeshe kiasi kilichobaki.
ushauri mzuri ila watanibana kwanini baada ya kumuona shangazi ukakimbia wakati ulikuwa pombe... natakiwa kuwa na point kidogo.
mkuu acha nimejaribu kumwomba tuongee faragha amekataa katakata na anasema hana muda wa kuongea na mimi...!!!
yaan mkuu nikimtongoza hapo ndo nitaharibu kila kona hapa natakiwa kupata maneno ya kuongea kwenye kikao chao hicho..!!!!Jitahidi sana kabla ya muda wa kikao uwe umepata number ya uyo shangazi na umtongoze, dawa ya moto ni moto chief
Kwani we hauna gheto? We mjuze shangazi tu ataelewa ye mwenyewe alikuwa mnjunjoni.shangazi ananifahamu ila hafahamu kama natoka na binti yake na binti anasema nisimwambie kama ni wapenzi sababu atajua nimeenda kugegeda kwenye gheto lake.
na kweli yaan nikianza na moja natakiwa nimalize nayo.. ahsante kwa ushauri mkuu mwanzo nilipanga kumruka sababu hakuna mwingine aliyeniona... hiyo imekaaje..!!!Umeondoka kwenye chumba chako hakuna mtu, kurudi unakuta mtu, kwa hiyo akili zilikujia ghafla sana kwamba umekosea vyumba ikabidi utoke nduki usije kuitiwa mwizi au unabaka. Inshort sema akili zilikujia hapo hapo baada ya kujua umekosea.
Huu msimamo ni lazima uanzie mwanzo mpaka mwisho.