Msaada Nimedisco chuo

duyudu

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
78
Reaction score
52
Habari zenu Wakuu,
Nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu,mwaka wa tatu(2016/2017),kuna kosa nilifanya mwaka wa pili(examination irregularity),imepelekea kudisco chuo,naomba kwa anayefahamu kama inawezekana kuomba chuo tena mwakani?,na kama itawezekana kuomba mkopo tena? Ama utaratibu wa Open university anisaidie au kama kuna mwenye ushauri mwingine.
Nawasilisha,akhsanteni![emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
pole sana kwa mfumo wa 4-4-2 wa ndalichako subili tu mwakani open ana bifu nao kubwa sana na kumbuka kudisko shule si mwisho wa maisha kuna maisha baada ya shule kwa sasa tafuta sehemu ufanye kazi tu subili TCU 2017/2018
 
pole sana kwa mfumo wa 4-4-2 wa ndalichako subili tu mwakani open ana bifu nao kubwa sana na kumbuka kudisko shule si mwisho wa maisha kuna maisha baada ya shule kwa sasa tafuta sehemu ufanye kazi tu subili TCU 2017/2018
Asante Mkuu
 
Elezea vizuri ume disco vipi
Ilikua tar 24 may 2016, nilikua na test 2,ya course flani,due to negligence nilizima phone na kuiweka mfukoni maana sikuwa nimebeba begi,bahati mbaya director wa Q.A katika pitapita zake akagundua uwepo wa simu mfukoni kwangu kutokana na position nlokua nimeketi.Akafikisha ilo suala utawala ndo wakachukua hatua izo
 
Pole sana mkuu jarb chuo mwakan ila mkopo nashaur usiombe coz badoo unadaiwa kwenye database cdhan kama watakupa twice! bt pole mungu atakusaidia its life tu
 
Kachukue form ya kulipa mkopo ujaze kuna option ya walio disco bilicanas
 
pole sana,angalia kama unaweza kuingia vyuo vya private.
 
Pole sana, omba mwakani nafasi katika chuo kingine lakini pia usisite pia kuomba na mkopo hata wakikunyima mkopo bora umejaribu.
 

SINA USHAURI WA KUSONGA MBELE, ILA PATA SOMO KWENYE HILO KOSA! SIO VYEMA KUCHEZA NA UTARATIBU WA SHULE, MAISHA NI MAGUMU,
 
Very sad.
Hivi ukiendelea na maisha nje ya elimu na mambo yako yakaenda sawa, watakudai marejesho ya mkopo?
Nakumbuka mswada wa kuunda sheria ya kuunda bodi ya mikopo ulikuwa na kipengele mtu kuanza kulipa akihitimu chuo na kupata kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…