David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,119
- 6,783
Habari ndugu zangu?
Nimeamua rasmi kuingia kwenye kilimo na ufugaji lengo langu kuu ni kulima mpunga na vitunguu na kwa upande wa mifugo tayari nimenunua nguruwe 10 na kuku 20 wa kienyeji 15 majike na 5 majogoo.
Mwezi wa 11 nataka nianze kufuga kuku wa mayai.
Swali:Nilikuwa nauliza kati ya mpunga na vitunguu ni zao gani lenye faida zaidi na halina changamoto nyingi ktk ulimaji?
Nakuhusu vyakula vya mifugo nimepanga kutenga hekari 3 kwa ajili ya mahindi na alizet+mihogo kwa ajili ya chakula cha nguruwe tu.
Nashindwa kuweka picha za mifugo nilionunua coz sina utaalamu wa ku-upload picha.
Karibuni kwa michango yenu