likandambwa
Member
- Sep 16, 2015
- 18
- 0
- Thread starter
-
- #41
any misconduct should be well explained if an employee is to be expeled,
japo kama umeajiriwa serikali kuu ni eneo ambalo linahitaji sana ufwate baadhi ya professionals codes of conduct maana ni sehemu nyeti na uwe na uwezo mzuri wakutenda kazi.
je hujawahi toa siri za ofisi?
wewe ni mlevi?
umepokea rushwa?
vipi kuhusu mahusiano yako ya mapenzi na kazi, angalia vizuri kuna mahali umeingilia anga za boss au msimamizi wako kwakujitia ujuaji akaona usiwe nuksi,
hapo na wewe hakikisha umepita sheria katika mkataba waho na umhoji kwa barua kuwa hajaainisha kosa lako
Je nichukue hatua gan? Maelezo niliyotoa ni ukweli mtupu na sina sababu ya kuficha
Pole sana mkuu. Makampuni yanatofautiana na sio kila kosa lazima upewe onyo, kuna baadhi ya makosa ukifanya adhabu yake ni kuachishwa kazi japo hilo inabidi liwepo na liwe wazi kwenye mkataba wako wa kazi au kanuni na taratibu za mwenendo wa wafanyakazi wa hiyo kampuni.
Kama haujafanya kosa linaloangukia kwenye hayo yaliyoainishwa ambayo yatakufanya upoteze kazi, unaweza kuanza kutafuta wanasheria kwa msaada zaidi. Kwa kipindi cha miezi 7 kosa pekee ambalo lingekupotezea kazi ni utendaji wa kazi kwa sababu ulikua bado upo kwenye probation, na hapo ungeitwa nakuelezwa ni wapi uongeze bidii ili kuboresha utendaji wako.
Hapana, haiendi hivyo. Sheria ya kazi ya mwaka 2004 pamoja na Code of Good Practise ya 2007 imeanisha taratibu zote za mtu kuachishwa kazi regardless na kosa ambalo atakuwa amefanya. Termination of employment has to be fair na mwajiri anapaswa kumpa mwajiriwa nafasi ya kujitetea kama kutakuwa na uvunjifu wa kanuni/taratibu za kazi mbele ya kamati ya nidhamu; yote yanapoisha mwajiri pia anatakiwa ajiridhishe kabisa kwamba kosa lilifanyika adhabu stahili nu kusitishwa kwa ajira.
Hatuna "Summary Dismissal" hapa Tanzania.

na pia kwa kuongezeaaa adownload case ya daniel case kwan pia,nayo ataelewa maan huyu alikuwa nae terminate kazid bila kosa
Hebu msaidie kuiweka hapa hiyo kesi ya Daniel