Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Bila shaka simu yako inaweza ikawa infinix. Kama ni yenyewe restore tu. Ila kabla ya yote toa line weka kwenye simu nyingine jaribu kuipigia upate uhakika zaidi.Wakuu salama. Naomba kuuliza tatizo ni nini na sim card ya tigo watu wanalalamika toka asbh wanapiga sipatikan lakin simu ipo on kwanini sipatikani?
Sijawai fanya setting zozote kwenye simu naombeni ujuzi wenu shida inaweza kua nini.
Unatumia kifaa gani cha mawasiliano..??
Fika tigo shop na hcho kifaa waangalie IMEI namba...Iphone
Ukiona unapata tatizo kama ili ukiwa na sim card ya tigo
Tambua kwamba
Unanunua muda wa maongezi online kupitia tigo pesa nk
Wenyewe tigo wanataka kila baada ya 1 mmoja angalau uwe unaweka kifurushi kwa njia ya kufuta vile vikaratasi vya kuchuna hata ukinunua muda wa maongezi wa 500 sim inafunguka sijajua ni kwa nini wanalazimisha wateja tutumie style hii ya kusugua /kufuta vile vikaratasi angalau mara moja moja kwa mwezi 1
Leo ndo nimeelewaUkiona unapata tatizo kama ili ukiwa na sim card ya tigo