Msaada; Nikiomba tena nafasi chuoni nitapata?

fh kwenye beat

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
494
Reaction score
613
Wakuu nilichaguliwa mwaka jana kusoma chuo cha uhasibu T. I. A Mbeya kutokana na kukosa mkopo nikaacha masomo, je nikiomba mwaka huu sitapata usumbufu wowote kupata chuo kingine tofauti na T. I. A
 
Nenda,chuo T.I.A wakupe barua kuwa hukuripot chuon then ipeleje TCU wakutoe kwenye system AF uombe chuo upendacho tena
 
mkuu, kwa usajili huu sasa wa kila chuo hata asipo andika barua huko.. anachaguliwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…