Msaada: Nikikutana kimwili na mtu ambaye hajatahiriwa siwezi kupata madhara?

Kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma (siyo wote)..

Ila hiyo inaweza kukuletea madhara cha msingi endelea kumsisitiza akatoe hilo linyama bhana kabla hata hamjafika mbali kuelekea ndoa.
 
Hapo hakuna msaada mwingine zaidi ya kumwambia akatahiriwe.

Tafuta lugha za kumbembeleza akalitowe hilo govi mana sipati picha uchafu uliojificha kwenye hilo govi ambapo usipoangalia madhara ya huo uchafu unaweza ukamuathiri yeye au wewe mwenyewe wakati wa kujamiiana.
 
Hivi ambayo haijatahiriwa ikiwa imesimama inakuaje?

Ukute anakutania ili kukupima kama utaweza kumvumilia katika shida na raha

Halafu anatakaje kuanza taratibu za ndoa akati 'hamjaonjana'

Unataka kuuziwa mbuzi katika gunia?

Usikubali
Ijaribu radha yake kwanza huwenda ni better zaidi ya hizi tunazozifahamu
 
Back
Top Bottom