Hili tatizo hata kwenye komputa yangu lilitokea lakini liliisha nilipata mtaalamu akanipa maelezo haya na nikayafuata kwa umakini na kuyatekeleza, "chukua ndoo ya chuma iliyojaa maji, weka majivu vijiko vya chai saba katika ndoo hiyo, tia chumvi vijiko tisa, tenga kwenye moto wa kuni hadi maji hayo yachemke alafu tumbukiza hiyo komputa yako uache ndani ya maji kwa masaa mawili na robo, baada ya hapo utaweza ku-download" UMEELEWA MKUU?