wakomong'we
Member
- Oct 28, 2011
- 30
- 2
Ndugu wana board,ninatumia window 7 ultimate kwenye laptop yangu ambayo ni Dell,lakini cha kushangaza ni kwamba local disk C inaongezeka bila ya kuinstall program yoyote ile na siko online kusema kwamba window inafanya update.Mwenye ufahamu juu ya hili swala anisaidie ndugu zangu